Sijawahi kumkubali kocha wa Simba, Sven Ludwing

Sijawahi kumkubali kocha wa Simba, Sven Ludwing

Hahah Migambo Inaruka Na Kukanyagana, Yote Imesimama Inaruka Kinyama...
 
Naam huo ndiyo ukweli,Matola anahusika ktk upangaji wa kikosi dhaifu,timu ilikuwa Haina muunganyiko mzuri,haikucheza soka la kivutia,kwenye fainali bench la ufundi wamerudia makosa yaleyale,walipocheza na Zimanimoto,Bora wangeanzisha kikosi kilichocheza na Azam fc
Matola achunguzwe.. waswahili tunajuana kwa fitna sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kocha wa Simba hana jipya kabisa. Ameharimu mfumo mzuri ulotengenezwa na Uchebe.

Mfumo anaoutumia unamficha Kagere.

Viongozi wa Simba mrudisheni Uchebe. Hivi huyu kocha ataweza kutufanya tubaki next levels au last levels? Duh! Nasikitika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye pesa akimkubali inatosha, nyie wengine muwe wapole tu! Simba nguvu moja......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom