Matola achunguzwe.. waswahili tunajuana kwa fitna sisi
Mwenye pesa akimkubali inatosha, nyie wengine muwe wapole tu! Simba nguvu moja......Huyu kocha wa Simba hana jipya kabisa. Ameharimu mfumo mzuri ulotengenezwa na Uchebe.
Mfumo anaoutumia unamficha Kagere.
Viongozi wa Simba mrudisheni Uchebe. Hivi huyu kocha ataweza kutufanya tubaki next levels au last levels? Duh! Nasikitika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagere hakunilipa ndio maana nkaifanya hirizi ionekane wote tunatafuta pesa acheni kunitapeli simba wa Kenya nyie na kesho ........?