Hiyo ni hoja nyingine ya nyumbani, yani alivyomkaanga mpina ndicho anapiga kelele yeye asikaangwe.Kwa nini alimkaanga vile Mpina kwenye sakata la sukari??
Sisi wakristo tunasema Ibada njema inaanzia nyumbani. sasa yeye nyumbani hana msaadaMimi naweza nikawa simkubali mtu ila akifanya kitu poa lazima nimpe pongezi.
Mfano Musiba yule jamaa yani basi tu, ila katika mashudu yote juzi kuna pointi kaizungumza nikakubaliana naye.
Being smart ni pamoja na ku come down in situations. Unakuwa cool tu kisha ndio unamwaga mapoint mlima!Kuongea kwa emotion tena!? lazima aoneshe emotion kama kitu kimemuudhi afanyeje .
Ukienda Mahakamani katika kujitetea huwezi kusema mbona fulani aliua hakushitakiwa, unazungumzia hoja iliyoko mezani... hapa nazungumzia alichofanya IPU. Hayo ya nyumbani hata kwenye thread nishasema simkubali kanifanya hata bunge sitaki kulisikiliza na wala yeye mwenyewe. Na ndio maana nimechukua muda mpaka kusikiliza kinachoendelea IPU kwa sababu nilikuwa nishamhukumu hata kabla ya kusikia alisemaje.Sisi wakristo tunasema Ibada njema inaanzia nyumbani. sasa yeye nyumbani hana msaada
huko nje anaonekana ni mshupavu tena bingwa wa kusimamia haki. Huu ni ufiki wenye kipaji cha HD
na kiwango cha phd. ikiwezekana aondolewe tunaona anaigiza tu
Narudia hana msaada wowote hapa Tz. sina muda wakusikiliza unafiki anao ubwabwaja huko huku nyumbaniUkienda Mahakamani katika kujitetea huwezi kusema mbona fulani aliua hakushitakiwa, unazungumzia hoja iliyoko mezani... hapa nazungumzia alichofanya IPU. Hayo ya nyumbani hata kwenye thread nishasema simkubali kanifanya hata bunge sitaki kulisikiliza na wala yeye mwenyewe. Na ndio maana nimechukua muda mpaka kusikiliza kinachoendelea IPU kwa sababu nilikuwa nishamhukumu hata kabla ya kusikia alisemaje.
Shida ya kumchukia mtu sana, huwezi kuona hata mazuri yake na shida ya kumpenda mtu sana huwezi kuona hata makosa yake. Hili ndilo tatizo la Tanzania. Kuna die hard fans wa wanasiasa na wale wanaowachukia sana pia.
Usisahau pia Nabii hakubaliki kwao!!Sisi wakristo tunasema Ibada njema inaanzia nyumbani. sasa yeye nyumbani hana msaada
huko nje anaonekana ni mshupavu tena bingwa wa kusimamia haki. Huu ni ufiki wenye kipaji cha HD
na kiwango cha phd. ikiwezekana aondolewe tunaona anafanya maigizo tu
Nabii yupi aliyewatendea wa kwao unyama?Usisahau pia Nabii hakubaliki kwao!!
Mnatosha mnao jadiri kuhusu IPU sio lazima tujadiri wotejadili kulingana na muktadha mkuu.
Kwani ametukana!?Being smart ni pamoja na ku come down in situations. Unakuwa cool tu kisha ndio unamwaga mapoint mlima!
Sasa ukianza kuongea kwa kupanic tunaondoa usmartness kwako hata kama una point