Sijawahi kumpigia simu Diamond wala sijawahi kuwasiliana kuomba kazi wasafi, ningetaka ningempigia mmiliki mwenyewe

Sijawahi kumpigia simu Diamond wala sijawahi kuwasiliana kuomba kazi wasafi, ningetaka ningempigia mmiliki mwenyewe

DivaDaily

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
18
Reaction score
15
aliongea mengi, alimalizia kwa kusema tena kwa dharau, Diamond sio mmiliki kama anavyodanganya watu na angetaka kazi angempigia mmiliki sababu anamjua , Diva alaiongezea diamond ni muongo sana huwa anatengeneza vitu kuua kitu kinacho trend na sababu ya yeye kusema uongo ule ni kupoteza kiki ya wimbo wa hainistui ambao diva alisapoti kwa nguvu, Diva alisisitiza Im powerful nna uwezo wa kusema huyu bora na watu wakamini huyu bora kwa facts,

31 years old Cloudsfm Presenter amesisitiza hamuogopi diamond alikuwa rafiki yake anamjua vizuri sana na anayo mabaya yake yote yale alioonyesha ni trella tu yajayo yanafurahisha kama yeye na familia yake wataendelea kumuongelea na kutuma vibaraka wake wamtusi, hakuna tusi jipya ukinitusi mimi ni unamtusi mama yake na dada yako na shangazi zako hicho kiungo pia nao wanacho

It's a gift from God ila Diamond is a bad influence to the generation yeye akitaka afanye muziki wake aache kupenda sifa za kijinga , sababu uyaonayo kwako 35% inaeza kuwa kwelinthe rest ni uongo na uozo mtupu.

Diva amesisitiza diamond apimwe mkojo na damu ili ku prove kama diva alimuomba kaz na kama ile akili ilikuwa yake maana you can't lie on public like that, amesema beef lao ni entertainment beef na diamond anajua kwanini hawatapatana mpaka siku anaingia kaburini, na ile kusema nimemsamehe diva ni guilty yaje mwenyewe he knew what he did and made up to defame and hurt people behind the camera, amemalizia
Adjustments.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu ulikuwa wap siku zote mbona huo mjadala ushafungwa!? Istoshe huyo dada naye anajichetua tu kwamba Dmondi kaitisha press ili kumuongelea yeye kitu ambacho sio kwel, alf anasema yeye wasafi ndo walimpigia simu wao, mara mama (cjui mama gan) ndo alikuwa ana muapproach

Sas hiyo hapo inaleta picha kwamba kuna kauhusiano wa Diva na issue ya kazi wasafi sas kwann Diva hakulipua kwanza wala kutoa hint, mpaka Diamond alipoongea vile! Anasema pia Diamond aoneshe chatts za yeye akiomba kazi, wakati akisahau yeyepia kashindwa kutuonesha msj walizomtumia kumshawish ajiunge wasafi

Cjui mahusiano yao lkn nliona post hapa ikabidi nifatilie kidogo.. Dada anashoboka kizembe sana.Dai na yeye sijui alishindwaje kuzuia domo lake hadi akamtaja jina
 
huuu nao umbeya tu......wale wa middle east tuondoke tuendelee kufuatilia kwa ukaribu Mu yu s ei anavyosepa na kijij
 
Back
Top Bottom