Sijawahi Kumuelewa Kocha wa Simba Fadlu Davids

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Habari za mapumziko,

Mashabiki na wapenzi wa kandanda Tanzania na East Africa kiujumla.

Jana SIMBA walicheza mechi yao ya pili katika mashindano ya CAF confederation CUP na kupoteza kwa magoli mawili kwa moja dhidi ya st constantine. Licha ya SIMBA kutangulia kupata goal la mapema lakini umakini ulikosekana na hatimaye goli lilirudishwa ila kocha wa SIMBA anafikirisha sana kwasababu zifuatazo:

1.SIMBA inapata shida sana kwenye kutengeneza nafasi, Yaani wachezaji wa simba wakifika kwenye final third kila mchezaji anataka kufunga yeye, na wachezaji wanakosa utulivu. Inashangaza kuona AHOUA, ambaye ndiye playmaker akitafuta nafasi ya kufunga hata akiwa nafasi nzuri ya kutoa pasi kwa mwenzake matokeo yake team ina struggle kwenye kutengeneza nafasi.

2.Kocha wa SIMBA ameuwa winga:Tangia kocha wa simba aje viwango vya wachezaji wengi vimeshuka mfano:Edwin balua,aliyekuwa tishio chini ya mgunda mpaka kuitwa national team leo amekuwa mchezaji wa kawaida pamoja na mutale.Mfumo wa kocha wa SIMBA anatumia inverted winger wakati huo akitumia overlapping full backs, kushambulia matokeo yake Edwin balua, na joshua mutale wanatakiwa washambulie kwa ku cut in ndio maana team imekuwa butu kwenye kushambulia maana mda mwingine mabeki wa pembeni wanachelewa kupanda.

3.First Eleven:Inashangaza mpaka sasa hivi kocha wa SIMBA hana first eleven mchezaji ambaye ana uhakika wa kuanza SIMBA ni CAMARA, lakini wachezaji wengine wote kila siku wanabadilika hakuna team ya hivyo duniani kote kocha lazima awe na first eleven ndio maana team nyingi zinapata tabu baadhi ya wachezaji wakikosekana kwenye starting line up,Kocha kila siku anafanya mabadiliko kweli safari bado ni ndefu.

4.Transion:Team zote duniani zinawekeza kwenye mazoezi ya Transition from defending to attacking kwasababu kwenye hyo transition team inakuwa disorganized hata ukiangalia goli mbili walizofungwa YANGA na AL HILAL zilikuwa za transition from defending to attacking minimum two passes lakini kwa SIMBA ni kawaida mchezaji kupata mpira kwenye final third na akarudisha nyuma kwa mabeki mpira wa sayari gani huu anafundisha kocha wa SIMBA haupo popote duniani.

5.TACKICKS:Mbinu za kocha wa simba mpaka sasa hazijulikani ni mbinu gani haeleweki anacheza mpira wa aina gani attacking, defending au both lakini ni ngumu kumuelewa kwasababu team inaonekana mazoezini inafundushwa kupiga pass to hawana progression hawana utulivu na kila siku wanarudia makosa yale yale wachezaji mpaka unajiuliza mazoezini wanafanya nini.

SIMBA kama kweli wanataka mafanikio huyu kocha wa sasa hawezi kuwafikisha popote pale kwanza ni mchanga kwenye hyo nafasi ya HEAD COACH lakini pia hana mbinu zaidi ya drill za passing na receiving tu ndio shida inaanzia hapo sijui kwa nini YANGA walimfukuza MIGUEL GAMOND lakini ni miongoni mwa makocha wa chache wanaocheza soka la kisasa na kuvutia kama i)pressure on the first touch ii)provide cover and support iii)counterpressing iv)utilizing the half spaces v) compactness.

YETU MACHO,
ALAMSIK,
 
Umenena mkuu, kuna hilo pira wanacheza lenyewe halieleweki.. kuna wachezaji wawili watatu ndo wanaonesha juhudi zao zinazopelekea wapate hata yale magoli yao.
 
No.3 umepuyanga. Kocha unataka kocha achezeshe wachezaji walewale kila siku,mbona zimbwe,kapombe,che melon,ateba,ahoa kila siku wanaanza inataka kikosi cha kwanza kipi?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
TATIZO LA SIMBA SIO KOCHA NI QUALITY.

1. WACHEZAJI NI WA BEI CHEE SANA.

2. Uwekezaji wa hivi vilabu ni Maigizo.

3. Selikali na CCM haiwezi kukubali kuviachia.
Haiwezi kuacha kukosa asilimia kwenye hivi vilabu
51% ni ya selikali
KUNA FAIDA NYINGI SELIKALI HARAMU INANUFAIKA NA HIZI TIMU, KIFEDHA NA KI PROPAGANDA.

4. Na nyinyi wananchi ndio mnaotekwa kila siku Mnasinzia kwenye vikao nk.

Nyie wenzangu endeleeni kubishana masaa 24 simba na yanga.

Mmetekwa bila Kujijua.
UKOMNBOZI WA FIKRA.

#TANZANIA YANGU
 
Umechambua vyema ONG BAK na lile tapeli pale Yanga hakuna makocha wale wanachojua ni kubet..
Yule wa yanga uwezi kumlaumu kwa sasa kwakuwa ata mwezi ajamaliza na yeye apewe muda kama alionao wa Simba ndio tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kumhukumu
 
No.3 umepuyanga. Kocha unataka kocha achezeshe wachezaji walewale kila siku,mbona zimbwe,kapombe,che melon,ateba,ahoa kila siku wanaanza inataka kikosi cha kwanza kipi?
Aelewi maana ya kikosi kipana
 
Habari za mapumziko,

Mashabiki na wapenzi wa kandanda Tanzania na East Africa kiujumla.

Jana SIMBA walicheza mechi yao ya pili katika mashindano ya CAF confederation CUP na kupoteza kwa magoli mawili kwa moja dhidi ya st constantine. Licha ya SIMBA kutangulia kupata goal la mapema lakini umakini ulikosekana na hatimaye goli lilirudishwa ila kocha wa SIMBA anafikirisha sana kwasababu zifuatazo:

1.SIMBA inapata shida sana kwenye kutengeneza nafasi, Yaani wachezaji wa simba wakifika kwenye final third kila mchezaji anataka kufunga yeye, na wachezaji wanakosa utulivu. Inashangaza kuona AHOUA, ambaye ndiye playmaker akitafuta nafasi ya kufunga hata akiwa nafasi nzuri ya kutoa pasi kwa mwenzake matokeo yake team ina struggle kwenye kutengeneza nafasi.

2.Kocha wa SIMBA ameuwa winga:Tangia kocha wa simba aje viwango vya wachezaji wengi vimeshuka mfano:Edwin balua,aliyekuwa tishio chini ya mgunda mpaka kuitwa national team leo amekuwa mchezaji wa kawaida pamoja na mutale.Mfumo wa kocha wa SIMBA anatumia inverted winger wakati huo akitumia overlapping full backs, kushambulia matokeo yake Edwin balua, na joshua mutale wanatakiwa washambulie kwa ku cut in ndio maana team imekuwa butu kwenye kushambulia maana mda mwingine mabeki wa pembeni wanachelewa kupanda.

3.First Eleven:Inashangaza mpaka sasa hivi kocha wa SIMBA hana first eleven mchezaji ambaye ana uhakika wa kuanza SIMBA ni CAMARA, lakini wachezaji wengine wote kila siku wanabadilika hakuna team ya hivyo duniani kote kocha lazima awe na first eleven ndio maana team nyingi zinapata tabu baadhi ya wachezaji wakikosekana kwenye starting line up,Kocha kila siku anafanya mabadiliko kweli safari bado ni ndefu.

4.Transion:Team zote duniani zinawekeza kwenye mazoezi ya Transition from defending to attacking kwasababu kwenye hyo transition team inakuwa disorganized hata ukiangalia goli mbili walizofungwa YANGA na AL HILAL zilikuwa za transition from defending to attacking minimum two passes lakini kwa SIMBA ni kawaida mchezaji kupata mpira kwenye final third na akarudisha nyuma kwa mabeki mpira wa sayari gani huu anafundisha kocha wa SIMBA haupo popote duniani.

5.TACKICKS:Mbinu za kocha wa simba mpaka sasa hazijulikani ni mbinu gani haeleweki anacheza mpira wa aina gani attacking, defending au both lakini ni ngumu kumuelewa kwasababu team inaonekana mazoezini inafundushwa kupiga pass to hawana progression hawana utulivu na kila siku wanarudia makosa yale yale wachezaji mpaka unajiuliza mazoezini wanafanya nini.

SIMBA kama kweli wanataka mafanikio huyu kocha wa sasa hawezi kuwafikisha popote pale kwanza ni mchanga kwenye hyo nafasi ya HEAD COACH lakini pia hana mbinu zaidi ya drill za passing na receiving tu ndio shida inaanzia hapo sijui kwa nini YANGA walimfukuza MIGUEL GAMOND lakini ni miongoni mwa makocha wa chache wanaocheza soka la kisasa na kuvutia kama i)pressure on the first touch ii)provide cover and support iii)counterpressing iv)utilizing the half spaces v) compactness.

YETU MACHO,
ALAMSIK,
Kama vipi tumrudishe Mgunda mapema kabla ya malalamiko kushamiri.
 
No.3 umepuyanga. Kocha unataka kocha achezeshe wachezaji walewale kila siku,mbona zimbwe,kapombe,che melon,ateba,ahoa kila siku wanaanza inataka kikosi cha kwanza kipi?
Deborah Fernandez sio wa kutokea bench.
 
TATIZO LA SIMBA SIO KOCHA NI QUALITY.

1. WACHEZAJI NI WA BEI CHEE SANA.

2. Uwekezaji wa hivi vilabu ni Maigizo.

3. Selikali na CCM haiwezi kukubali kuviachia.
Haiwezi kuacha kukosa asilimia kwenye hivi vilabu
51% ni ya selikali
KUNA FAIDA NYINGI SELIKALI HARAMU INANUFAIKA NA HIZI TIMU, KIFEDHA NA KI PROPAGANDA.

4. Na nyinyi wananchi ndio mnaotekwa kila siku Mnasinzia kwenye vikao nk.

Nyie wenzangu endeleeni kubishana masaa 24 simba na yanga.

Mmetekwa bila Kujijua.
UKOMNBOZI WA FIKRA.

#TANZANIA YANGU
Umeongea mkuu [emoji2935]
 
Me namshukuru Sana MUNGU hu upuuzi na ujinga wa ushabiki wa Simba na yanga umenitoka kabisa
 
TATIZO LA SIMBA SIO KOCHA NI QUALITY.

1. WACHEZAJI NI WA BEI CHEE SANA.

2. Uwekezaji wa hivi vilabu ni Maigizo.

3. Selikali na CCM haiwezi kukubali kuviachia.
Haiwezi kuacha kukosa asilimia kwenye hivi vilabu
51% ni ya selikali
KUNA FAIDA NYINGI SELIKALI HARAMU INANUFAIKA NA HIZI TIMU, KIFEDHA NA KI PROPAGANDA.

4. Na nyinyi wananchi ndio mnaotekwa kila siku Mnasinzia kwenye vikao nk.

Nyie wenzangu endeleeni kubishana masaa 24 simba na yanga.

Mmetekwa bila Kujijua.
UKOMNBOZI WA FIKRA.

#TANZANIA YANGU
Wewe Unakiwa kweli, CCM imeingiaje hapo Malaya wewe
 
Alooo mlira umeingiliwa. Ebu kwanza tuambie philosophy ya simba ni ipi kwenye uchezaji na ya coach wenu ni ipi? Maana msije mkalaumu kocha kumbe nyie wenyewe recruitment ilikuwa mbovu.
 
Kocha ambae kombe la shirikisho anakua mwoga hivo na anacheza na timu changa je angecheza na mamelod klabu bingwa
 
Back
Top Bottom