Sijawahi Kumuelewa Kocha wa Simba Fadlu Davids

Simba tungepata kocha mwenye akili na wachezaji wenye utimamu tungefika mbali angalia Orlando pirates wanavofanya transition
 
Simba tungepata kocha mwenye akili na wachezaji wenye utimamu tungefika mbali angalia Orlando pirates wanavofanya transition
The best team win on transition angalia liverpool walivyowafunga Manchester city lile goal la kwanza walilofunga kupitia gapko liverpool is the best team in transition on the world.
 
Alooo mlira umeingiliwa. Ebu kwanza tuambie philosophy ya simba ni ipi kwenye uchezaji na ya coach wenu ni ipi? Maana msije mkalaumu kocha kumbe nyie wenyewe recruitment ilikuwa mbovu.
Boko mpaka ulaya wanatoa unaona Manchester United wanavyoteseka ni kwasababu hizo hizo team ilikuwa inashinda kimagumashi tu leo wanateseka team zetu zinahitaji experienced kocha cha ajabu wanaletwa makocha wa kuja kujifunza kazi SIMBA na YANGA.
 
Sasa sii ujinga wetu wenyewe. Timu angepewa mgunda mambo ya gekuwa mukide tuu ila kwa sababu ya roho zetu mbaya tunawapa wanaotua dar na ndege wale wa kutua dar na kimbinyiko hatutaki
 
Wewe ni kocha au ni mchambuzi?
 
Tatizo la simba ni quality ya wachezaji wachezaji wana viwango duni sana, hakuna ubunifu hata kidogo halafu huyu ahoua kwann hamueweki bechi binafsi ana nikera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…