Sijawahi kumuelewa Rachel Dangwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anachekesha sana huyu dada,nadhan wengine waliwekwa duniani ili tufurahi akipaka make uo ,na zike nguo zake mamamamamaaa
 
Mwandiko wake ni mchafu balaa
 
Sasa kama na huyu mnamshangaa na yule wa machupi yaliyondikwa I LOVE MC PILIPILI mnamchulia je? Yeye ni mfanyabiashara London sijui MC Pilipili alimkuna hata bado huwa sielewi
 
Wekeni picha zenu nanyi tuwaone kuliko kumnanga mwenzenu.
 
Chizi fresh mmoja hv aliibua danga la kijapani bongo likamweka kinyumba huko Japan. Ila lifestyle yake ni dhahiri bado anafanya mawindo😎
 
Wewe unamzidi nn?
 


Wajasiliamali wa miili ndivyo walivyo, madushe yamewaharibu akili....ni wa kumsamehe tu kwani kulishwa madushe ya aina tofauti tofauti kila kukicha nako kunachosha, si mnamuona alivyolegea?
 
Mtambo wa gesi huu,Sijui nani alimwonyesha insta🤔
 
sio kila mtu utamwelewa duniani wengine machizi wenzake ndo wanawaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…