Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Mbona Kagame kaanza akiwa kijana kabisa.... Obama pia[emoji23][emoji23][emoji23]Marais wengi huwa wana umri mkubwa kwa hiyo wanapoingia madarakani wengi wao huwa wamestop kuzaa. Mawazo yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii research yako nimeikubaliMarais wengi huwa wana umri mkubwa kwa hiyo wanapoingia madarakani wengi wao huwa wamestop kuzaa. Mawazo yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe...!Ina maana hata mama Salima Kikwete hukumuona?!!!!!!!!!!!!!
Au hukujua kwamba alijifungua kipindi JK akiwa rais?
Rais wa nchiBe specific ni urais upi maana hata Nyoshi el Sadat ni Rais wa vijana.
Nimesema wengi sio wote, hao Obama na Kagame wana watoto wadogo?Mbona Kagame kaanza akiwa kijana kabisa.... Obama pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu ipi?Ina maana hata mama Salima Kikwete hukumuona?!!!!!!!!!!!!!
Au hukujua kwamba alijifungua kipindi JK akiwa rais?
Shost Khantwe kwani na wewe hukumuona mama Salima Kikwete kipindi kile ana mimba? mbona ilikuwa wazi tu, hadi akajifungua!!! Tena watu wakawa wanatania kwamba ameona azae mtoto wa ukumbusho wa mzee alivyokuwa rais.
Jakaya Mrisho Kikwete ni rais wa awamu ya nne wa JMT
Walah sikuona mimiShost Khantwe kwani na wewe hukumuona mama Salima Kikwete kipindi kile ana mimba? mbona ilikuwa wazi tu, hadi akajifungua!!! Tena watu wakawa wanatania kwamba ameona azae mtoto wa ukumbusho wa mzee alivyokuwa rais.
Mkuu utapimwa mkojo!Yaani hata TZ hujaona, wewe kweli kipofu