😀😀😀 sawa bwana. ndio hivyo alizaa mama yetu huyoo
Hahahaha Yule anaehamishwa hamishwa utendaji wa'''''''''Yaani hata TZ hujaona, wewe kweli kipofu
Sio mawazo yako, ila ndo ukweli. Yeye ajiulize ameona wapi raisi akiwa na umri wa kitoto wa kuzaa zaaMarais wengi huwa wana umri mkubwa kwa hiyo wanapoingia madarakani wengi wao huwa wamestop kuzaa. Mawazo yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wa Obama alikuwa na miaka mingapi kuanza urais, then rudi tena hapaMbona Kagame kaanza akiwa kijana kabisa.... Obama pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Michelle obama ni transgender🙈🙈🙈🙈usiniambie nithibitishe tuMbona Kagame kaanza akiwa kijana kabisa.... Obama pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Salma salmin alizaa tu.Ina maana hata mama Salima Kikwete hukumuona?!!!!!!!!!!!!!
Au hukujua kwamba alijifungua kipindi JK akiwa rais?
Mama nimekumiss kwanza..Dah nimecheka sijui huwa mnafikiriaga nini.. Wewe unataka kuona mimba ya mke wa Rais ya nini?
Ndio mkuu, nlimuona mkewe