johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Shetani lazima aione aibuShetan hajawahi mshinda MUNGU...na FURAHA ni dalili ya uwepo wa MUNGU ndani YAO
Hao ni makomandoo wanajikaza kiume tu ila mateso waliyoyapata wakati wa kukamatwa kwao wanayaugulia mioyoni mwao Mungu awasaidie tu maana hata afya zao zimedhohofu sana, wananyanyaswa katika nchi yao bila hatia yeyote kisa tu harakat zao za kujitafutia ridhiki Mungu awape nguvu watoke hapo salama na pia awaazibu wale wote waliowatendea unyama vijana hawa Ameen!!!Wakiwa wanashuka kwenye karandinga utawaona wana furaha na amani hata machoni tu
Wakiwa ndani ya mahakama wanakuwa Watulivu na Wasikivu sana wakifuatilia kila hatua ya mwenendo wa kesi.
Wakati wa kuondoka huwapungia mikono ya " amani" Wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi yao
Hakika ujasiri na Upendo huu unanikumbusha nyakati za JKT.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Mwanajeshi kafundishwa kuishi katika nyakati zote zihusuzo maisha yake binafsi na maisha ya Wananchi!Hao ni makomandoo wanajikaza kiume tu ila mateso waliyoyapata wakati wa kukamatwa kwao wanayaugulia mioyoni mwao Mungu awasaidie tu maana hata afya zao zimedhohofu sana, wananyanyaswa katika nchi yao bila hatia yeyote kisa tu harakat zao za kujitafutia ridhiki Mungu awape nguvu watoke hapo salama na pia awaazibu wale wote waliowatendea unyama vijana hawa Ameen!!!
Aaa aaa!. ni hivi. MUNGU yuko upande wako, wenye kiu ya haki wanakuombea mchana na usiku , una wakili Kibatala, Jeremiah Mtobesya, John Mallya, ushahidi wa upande wa mashtaka wa kuunga unga na gundi ,uwe na wasiwasi wa nini?.Sasa una wakili Kibatala, Jeremiah Mtobesya na Mallya uwe wasiwasi wa nini?