[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pita hku ujbu ni kipi cha kutuleta pm kati ya hvyo??Ha ha haaaaaaa
Mtu aje PM kwa kisa gani haswaa? Maneno yako unayoandika humu yanavutia au ni ID yako au avatar?
ID yake labda.Ha ha haaaaaaa
Mtu aje PM kwa kisa gani haswaa? Maneno yako unayoandika humu yanavutia au ni ID yako au avatar?
Ukiona mwanamke anakutafuta ujue anataka helaa!Unasubiri mwanamke akufuate? Really...?
Ngoja nibadilishe avatar huenda mambo yakawa vyemaHa ha haaaaaaa
Mtu aje PM kwa kisa gani haswaa? Maneno yako unayoandika humu yanavutia au ni ID yako au avatar?
Hata ukianza kunitafuta uje na 50 ya kiingilio.Ukiona mwanamke anakutafuta ujue anataka helaa!
Siriasili?Hata ukianza kunitafuta uje na 50 ya kiingilio.
ππππNa mimi pia wani pm maana cjui pm panakuaje pakiwa na msg
Na mimi ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh tehSiriasili?
Good questionUnapesa?