Sijawahi kupenda!! I need some1 to love

Sijawahi kupenda!! I need some1 to love

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
467
Reaction score
196
Inaweza ikawa ngumu kwako kunielewa, na wala isiwe rahisi kuamini kwa ninachosema; ila wakati fikra zako zinapingana na post yangu, ndio wakati huo huo fikra zangu zinapingana na moyo wangu {i need some1 to love} so plzz acha moyo wangu uwongee[emoji2958][emoji2958]

Upendo umekuwa ghali sana na ndio mana haudumu. Umekuwa nje ya hasili yake na wala si ndani. unatawaliwa na wenye pesa wala si wenye upendo, na ndio mana ka-Roho kangu kalikuwa kagumu sana kumwamini mwanamke na kumpenda.

Upendo ni furaha
Upendo ni amani
Upendo ni uvumilivu
Upendo ni utu wala cyo kitu
Upendo ni uwaminifu
Upendo ni upole
Upendo ni kuridhika

Ka-moyo kangu kamechoka kutamani, kanahitaji kupenda sasa! Kana muhitaji msichana mrembo, mcheshi, mwenye kujiheshimu, na mcha Mungu, anaye jua maana ya upendo.
Umri: 18-25, 45
Jinsia: mwanamke
Kimo: mrefu
Rangi: mweupe/chocolate
Dini: mkristo

Email: mathayomtakatifutz@gmail.com

NB: awe tayari kupima vipimo vyote hadi cha corona! [emoji6]

Asanteni.
 
Upendo haujivuni,
Upendo hautafuti mambo yake,
Wamebaki wachache sana hivyo usife moyo.
 
Back
Top Bottom