Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 828
- 1,513
salam kwenu wana jf.
wakuu kama kuna anayejua hiyo tiba naomba anisaidie ,au aliyewahi kupona tatizo kama hili la kutokusikia harufu naomba mwongozo wa tiba hili tatizo nimezaliwa nalo ,kwani sijawahi kusikia harufu maishani mwangu .Harufu kwangu ni kitu nilichoambiwa kipo kwa anayejua tiba msaada tafadhali...