Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 828
- 1,513
Duh nenda hospital inamaana olfactory nerves hazina tena ushirikiano na ubongo
Ndio n muhmu sema ukimuona daktar atakusaidia na ikishindikana bas atakupa maelezo ni kama ambavyo mtu hasikii au kuona ila anaishi tuMkuu itabidi niende tu ,mana nahitaji kusikia harufu toka mda mrefu ila sijawai fanikiwa kuskia, na "olfactory nerves" kama ulivyo sema hazina ushirikiano na ubongo ,je kuna madhara mkuu naeza pata kwa kutokuskia harufu.
[emoji117][emoji122][emoji122]
Pole sana,nenda hospital ikishindikana muone Mzizi mkavu anaweza kusaidia
Ndio n muhmu sema ukimuona daktar atakusaidia na ikishindikana bas atakupa maelezo ni kama ambavyo mtu hasikii au kuona ila anaishi tu
Jtahd sana mkuu naiman bado n mapema utafanikiwanitatafuta suluhisho mkuu kukubali haiwezekani kirahisi ...
Kama unaishi Dar acha tu mkuu,kuna maeneo yananuka sana pia kuna watu wanajipulizia marashi makali sana wala usitafute kuyajua tunayoteseka nayo sisi.salam kwenu wana jf.
wakuu kama kuna anayejua hiyo tiba naomba anisaidie ,au aliyewahi kupona tatizo kama hili la kutokusikia harufu naomba mwongozo wa tiba hili tatizo nimezaliwa nalo ,kwani sijawahi kusikia harufu maishani mwangu .Harufu kwangu ni kitu nilichoambiwa kipo kwa anayejua tiba msaada tafadhali...
Kama unaishi Dar acha tu mkuu,kuna maeneo yananuka sana pia kuna watu wanajipulizia marashi makali sana wala usitafute kuyajua tunayoteseka nayo sisi.