Sijawahi kutongoza JF! Huwa inakuwaje?

Sijawahi kutongoza JF! Huwa inakuwaje?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Nina muda wa miaka kadhaa hapa jukwaani! Nishakutana na warembo kadhaa, ila sijawahi kutongoza either PM or anywhere...

Huwa inakuaje? Tupeane uzoefu...
 
um=nataka kutongoza au kutongozwa..!

hujaeleweka, wewe ni jinsi gani? me au ke
 
Wengine humu ni madomo zege utawasikie nifuate PM

kweli ufuatwe PM huogopi, au ndo uzoefu wa kuleeee

Nawasiwasi hawa watakuwa wanaume wa pale naniliu
 
Back
Top Bottom