Kutongoza ndio nini mkuu mm najua kununua tu
mmh ndiyoJe, kinyume chake pia ni sawa?
Chalii ya kijenge unasumbua kinyama [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kai Kai.
Ebu kaa vizuri bwana tutete. Sasa ujue hadi nimejitangaza ujue umenijaa kwa mtima .
Nishike mkono nikupeleke kwetu kijenge
Raha mtoto wa kike usikubali kwakusema haya. Aibu na nishai ya mbali inatosha tuAkuu!
Hongera shemsikumpatia humu huyu mke wangu!!
Alijiunga 2014, kama nakumbuka vyema...
mimi ilikuwa 2012. mahusiano yetu yalianza 2013 January...
Yaani ningekuwa na uwezo ningekutongoza wewe. Moyo unataka ila mdomo mzito aka zege!Usijilazimishe kutongoza kama huna haja ya msichana humu!!! Fuata moyo wako mkuu na sio kufuata mkumbo.
Nina muda wa miaka kadhaa hapa jukwaani! Nishakutana na warembo kadhaa, ila sijawahi kutongoza either PM or anywhere...
Huwa inakuaje? Tupeane uzoefu...
ulinitukana?