Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo ulipotea sanaThe same!
Kuna sehemu niliona wakizungumzia lotion zinachangia kuleta mvi kwa kasi ya hatariSina lotion, sina perfume, sina body spray, naogea sabuni ya jamaa, miguuni na mikononi tu ndo napaka baby Care, niko mjini . kuna kitu nakosa?
Sio kweli mvi ni za kurithi...babu yangu ana 90+ ila ana mvi na nywele nyeusi. Kuna ambao wakiwa 20 tayari mvi kichwani.Kuna sehemu niliona wakizungumzia lotion zinachangia kuleta mvi kwa kasi ya hatari