kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Mapema mwezi wa kumi kama sio mwezi wa kumi na moja mwaka huu,hawa TMA walitutangazia kuwa kutakuwa na uhaba wa mvua kuanzia mwezi wa 11 hadi wa nne mwaka ujao,leo tena wamebadili gia angani,wamekuja na utabiri wa uwepo wa mvua nyingi.
Mbona wenzao huko marekani na ulaya tabiri zao huwa zinakuwa sawa kabisa,hawa wa kwetu wanafeli wapi?
Mbona wenzao huko marekani na ulaya tabiri zao huwa zinakuwa sawa kabisa,hawa wa kwetu wanafeli wapi?