Ni sawa lakini mbona huko ulaya/marekani jamaa na kwingine wakitabiri asilimia 90 ina kuwa kweli tofauti na hapa?hawa baada ya hali kutokea ndio wanakuja kuanza kutoa ufafanuzi?hata jk alishawahi kuwaambia mbona japani wakitabiri kesho mvua itanyesha kuanzia saa tano hadi saa 8 na inakuwa ni hivyo hivyo??tatizo kubwa ni vifaaa duni/elimu waliyo nayo watendaji wa TMA, kulinganisha na wenzetu.mala ngapi wanatangaza kuwa kesho kutakuwa na jua na mvua za rasharasha, linaibuka bonge la mvua utawasikia tena ohooo, mala kuna wingu limetoka misitu ya congo likaungana na lile la Amazon, likatengeneza mgandamizo mkubwa ndio ukaleta mvua hiyo, haaaaa!!!Neno TABIRI unapaswa ulielewe kuwa "YAWEZEKANA/ISIWEZEKANE.
Ni kujidanganya kumkontrol Muumbaji.Tushukuru linalotokea.
Haiendi hivyo. Hii ni Sayansi. "utabiri" labda ni kwa hapa Tanzania na nchi za dunia ya tatu sababu hawana umakini na taaluma yao au wapo duni kiteknolojia. Huko nchi zilizoendelea wapo accurate sana na taarifa zao za hali ya hewa kiasi neno utabiri halina mashiko. Hata weather.com wapo more acccurate kuhusu hali ya hewa ya Tanzania kuliko TMA.Neno TABIRI unapaswa ulielewe kuwa "YAWEZEKANA/ISIWEZEKANE.
Ni kujidanganya kumkontrol Muumbaji.Tushukuru linalotokea.
HaaTMA ife
hapana, watajiajiri kama astrologistsHaa
Utauwa Family Za Watu
Kwani mkuu nini maana ya Utabiri ?Mapema mwezi wa kumi kama sio mwezi wa kumi na moja mwaka huu,hawa TMA walitutangazia kuwa kutakuwa na uhaba wa mvua kuanzia mwezi wa 11 hadi wa nne mwaka ujao,leo tena wamebadili gia angani,wamekuja na utabiri wa uwepo wa mvua nyingi.
Mbona wenzao huko marekani na ulaya tabiri zao huwa zinakuwa sawa kabisa,hawa wa kwetu wanafeli wapi?
View attachment 2030624
Haahapana, watajiajiri kama astrologists
Sure,nilimjibu mleta hoja kwa kutumia Utabiri.Haiendi hivyo. Hii ni Sayansi. "utabiri" labda ni kwa hapa Tanzania na nchi za dunia ya tatu sababu hawana umakini na taaluma yao au wapo duni kiteknolojia. Huko nchi zilizoendelea wapo accurate sana na taarifa zao za hali ya hewa kiasi neno utabiri halina mashiko. Hata weather.com wapo more acccurate kuhusu hali ya hewa ya Tanzania kuliko TMA.
Labda ni nguvu za kiongozi wa kisiasaMapema mwezi wa kumi kama sio mwezi wa kumi na moja mwaka huu,hawa TMA walitutangazia kuwa kutakuwa na uhaba wa mvua kuanzia mwezi wa 11 hadi wa nne mwaka ujao,leo tena wamebadili gia angani,wamekuja na utabiri wa uwepo wa mvua nyingi.
Mbona wenzao huko marekani na ulaya tabiri zao huwa zinakuwa sawa kabisa,hawa wa kwetu wanafeli wapi?
View attachment 2030624