Sijawahi kuwasikia CHADEMA wakiambatana na Waganga wa Kienyeji

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hawa ndugu zetu wa Ufipa st Chadema wao huwa hawajihusishi na "ndumba"?

Sijawahi kuwasikia wakiambatana na Waganga wa mitishamba

Hata wakati ule ilikuwa wao na askofu Gwajima au askofu Malone na hata sass wanaye askofu Mwamakula na Shehe Ponda.

Isijekuwa hawa jamaa ni Mpango wa Mungu kweli?

Huku tawala ndumba ni kawaida sana tunaye hadi ndumbaro

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
 
Hahaaaaa, thread zako mostly hutegemea ulivyoamka.

But nakubali unavyoweka balance kwenye thread zako. Ni rah's kufanya analysis Kwa Chama chako.
 
Hakunaga mganga akawa wa Kweli.

Haina tofauti na kusema Kuna "Malaya mwaminifu"

Malaya ni Malaya, mganga ni mganga.

Mganga, Malaya, Mwizi, mwongo, mchawi baba Yao ni SHETANI baasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…