Badala ya kusifia mafanikio yao - bila kujali Elimu yao, wewe unauliza kama wanaongea lugha ya kigeni. Ukiongea Kiingereza vizuri kinakusaidi nini kama huna hela? Tuanze kujivunia vyetu!Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza.
Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida.
Sasa nilitaka kujua huko nje kwenye safari zao wanazofanya, kwenye hotel au huduma nyingine za kijamii huwa kuna Wakalimani?
Lugha ndio msingi wa maisha ya mwanadamu na maendeleo yake na ndio kitu cha kwanza kitakachotumika kati ya vita, amani na makubaliano.Mkuu kwenye dunia ya maarifa lugha ni kitu kidogo sana. Yaani mbele ya watu walioelimika hiki unachoongea hapa ni ushamba mtupu. Wewe ni aina kamili ya watanzania tulio nao
Tafuta kwenye kurasa zakeNiwekee hiyo link mkuu