Sijawahi kuwasikia Millard Ayo au Maulid Kitenge wakiongea Kiingereza

Millard anakijua vizuri tu lakini huyu popobawa uliyemtaja hapo hajui lolote kuhusu hiyo lugha, zaidi anaijua elimu akhera tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…