Simfahamu kwa kweli mi naijua tu hiyo id ina picha ya watu wamepanda pikipiki mtungohuyu watu8 original name ni nani?
Na je taarifa za matukio yanayowakumba members huwa zinajulikanaje kwa moods mpaka sisi tunapata posts? Mfano vifo vya M.Mtoi,Watu8 n.k
Mfano vifo vya M.Mtoi,Watu8 n.k
Watu8 kumbe amefariki?
Kweli sijapita kitambo pande hii.
Mungu amrehemu.
Achana na hao wazushi, Watu8 bado anadunda na Kawasaki yake!.Watu8 kumbe amefariki?
Kweli sijapita kitambo pande hii.
Mungu amrehemu.
nimekua member wa humu jamvini almost zaid ya mwaka bt cjawahi mfaham memba yoyote kwa kumuona I wish nionane hata name mmoja turn isijekua hua nachart na maroboti, cc illovo, smart911, Evelyn salt, Hathrony, na wengineo
Watu hapa jf ni boonge la waungwana iwapo utafanikiwa kujiona nao aiseeee....
Sema kwa hizi mambo za fake I'd, ndio hutupa ujasiri wa kujifyatua akili
Bora usionane nao wanajifanyaga mambo safi wasomi, kila mtu anagari watakupiga chenga mpaka basi wanaishi kwenye nyumba za nyasi😀😀
unajua watu humu hua wanajifyatua mno akili kk! wangekua wanachart name kupost kawaida apo sawa
Bora usionane nao wanajifanyaga mambo safi wasomi, kila mtu anagari watakupiga chenga mpaka basi wanaishi kwenye nyumba za nyasi😀😀
Wee! Usiwe na haraka tutaonana Mbinguni kwa baba. Hivi vi user name vinatufichia siri maaana huku Jf tunatiririka kinoma. Sasa ukiweza kufahamu mtu halisi si ndio siri zote zitakuwa hadharani?
Na je taarifa za matukio yanayowakumba members huwa zinajulikanaje kwa moods mpaka sisi tunapata posts? Mfano vifo vya M.Mtoi,Watu8 n.k