Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Walioangalia KIPINDI CHA michezo channel ten yanasikitisha sana sanaa, Kocha mgunda kaulizwa umeonaje mechi, AKASEMA hajawahi kumsema Refa YOYOTE Toka aanze KUFUNDISHA akasema HATA kama anapiga filimbi kama ANACHEZESHA ngomaa
Lakini yaliyotokeaaaa wananchi mmeyaonaaa nawaachia nyie mseme, Akakata simu
Hukoo TFF Hawa watu hawawasikii ama, Kocha WA fountaine gate kalalama hivi hivi, Shame on them
Mola atawaadhibu mapema tu UCHAFU UNAENDELEA
Shalom
Pdidyjr25