Sijawahi sex hata one day

Adam waTZ

Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
83
Reaction score
9
Nina miaka 24 ninasoma chuo sijawahi sex hata siku moja hivyo nimejawa na hofu kubwa sana kwamba itakuaje hiyo siku hivyo inapelekea uoga wa kuwa na uhusiano na msichana kwakufikiria itakuaje siku akihitaji sex wengine wananifata nakataa sio kwa siwapendi au sitaki hapana nikwamba nafikiri itakuaje sasa hiyo siku akitaka? Na wengine nawatoke mwenyewe wanakubali wakihitaji sex nawazungusha hadi wananitosa wananiona siosio ila mimi najiona niko poa ,sasa hii inakuaje? Na mimi nahitaji kupasha. yaani hadi naogopa kwa hali hii ntakuja kuoa!! Sasa sijui nifanyeje ili niwe na confidence yakutosha maana najikaza lakini bado naloose
 
achana na mambo ya sex mkuu,we endelea kupga zako pull 2..
 
aisee hebu achana na mambo ya kikubwa hayo, kusex sio mchezo mzuri, acha bhanaaa!
 

unahitaji kupasha nini........................misuli au?
 
If you've mental tranquility then you have both peace of mind and potence.You claim to had never did it, then what? The experience isn't like in a driving school where the instructor should be on your side fulltime.In order to succeed you must be confident with yourself (girls 'needs it' much more than us after a good romance.Alternatively, take some wine or beer to cheer your brain, believe me, you'll be amazed.
 
Anza na kupiga puli then ukiweza ndo uende next stage. la cvyo utaumbuka kijana. wengi tumeanzia uko hata kama mkibisha, maana najua hapa kuna wabishi wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…