sijayaelewa mabaraza katiba

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,181
Reaction score
6,813
jamani binafsi sajaelewa vipi yale mabaraza ya katiba yanaendelea kweli au inakuaje maana kwa sasa naona haya ya chadema yameshika kasi na yameungwa mkono na wananchi kwa asilimia kubwa.
 
Mimi si mwanasiasa lakini nazani haya ya chadema ndio ya wananchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…