Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana jf! Nmejifungua nna cku ya 34 sasa! Inafika wiki ya pili sasa naumwa meno ya hapa mbele ya juu na ya chini! Ikija ile hali yakuumwa meno bas kichwa nacho nahisi hakiko sawa! Nna chunusi usoni nkisema niitoe bas kichwa kinashtuka na meno yanauma! Nna tatizogani? Au kuna madini yamepungua mwilin mwangu yalosababisha meno kuuma? Sina raha na hii hali...kakipita kaupepo kidogo tu meno yanauma