Sijielewi: Naumwa meno ya hapa mbele ya juu na ya chini


Pole sana!
Watakuja! Kaa hapo hapo!
 
nami yamewahi kunisumbua hasa ya chini..kuna mama mmoja akaniambia nichukue kipande cha mti wa mwarobaini kisha nikate nipigie mswaki...(wazee wetu walitumia miti kupigia mswaki)...so sugua meno yako hasa eneo lenye meno yanayouma...ukifanya hvyo asunihi na jioni kwa siku mbili yanapona..binafsi nilifanya hivyo na mpaka sasa yamepona.....
 
Tumia hiyo dawa nakama hujapona unitafute nikupe dawa itakayotibu meno yako bila kungoa
 
Kuzaa siyo lelemama, ndiyo maana unatakiwa upumzike bila kufanya kazi yoyote kwa muda mrefu;
pia unatakiwa ule vizuri tena vyakula vya moto.
Hata hivyo ngoja waje wasomi wa hivyo vitu watakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…