Sijielewi wanajamii

Nic1987

Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
19
Reaction score
2
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 na bado sijaowa ila ninarafiki ambaye tumependa kwa dhati.Tatizo lake kwa muda huyu yuko mbali anasoma na ameniahidi nimsubirie kwa miaka miwili kwani yeye anamiaka 20.

Ameniambia nimsubirie akomae viungo vyake vizuri. Sasa tatizo langu kila wakati hata nikiongea na demu huwa uume unasimama hata kama ni njiani au kwenye kundi la watu. Kuna saa hadi napiz nikikaa kwa muda mrefu kama dakika10 au nikiubana uume kwenye boxer ili usionekane umesimama nashangaa napiz dah!.

Wanajamii nisaidieni sijielewi jamani je nitatizo gani?
Asanteni wapendwa.
 
tatizo unalo, jiangalie usije kubaka hadharani....
 
Ni ujana tu huo unaonekana unapoongea huwa akili yako yote inakuwa juu ya yule binti haswa unakuwa unajenga picha kuwa anagekuwa karibu hapa ningekuwa....................,
Punguza kuweka fikra zaidi kwake.


 
Dah mkuu, shukuru Mungu upo active kiasi hicho, ila usimweke akilini sana, usije ukanywa Detol ili ujiue siku ukijua alikuwa anakudanganya. Punguza mawazo ya ngono, sana mchukulie kama mpenzi na kama mtu wa karibu at the same time.
 
unawaza sana papuchi punguza ndo dawa pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…