Sijui ananitega au vp!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kuna mdada flan hv nilmpga sound ka miez 7 imepita akanikataa kwa kigezo cha kwamba ana msela wake na vle vle haijui vzr tabia yangu!wel,me nkamwambia isiwe tabu coz stil we cn be good frds,bac kuanzia pale 2kawa marafik wazur..

Imetokea juzi kati kaanzsha tabia ya mara kuniita honey, luv, swthat etc, kaanza kukagua cmu yangu na kila jina la msichana into my 4n anataka kumjua ni nani kwangu,ameenda mbali zaidi kaanza tabia ya kuninunia kila anaponiona natembea na gal mwingne barabarani!!sasa wakuu huyu mmanzi inakuaje au ndo kaingia kingi hvo?
 
Jamani huwezi soma hivyo vitendo ukajua kesha fall kwako kijana!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kesha kolea huyo mkuu, jaribu kusoma alama za nyakati.
 
huyo anatengeneza mazingira ya kukuchuna.kama hauamin mwambie akupe game uone ka atakubali.wewe unacheza na wanawake.kwa hiyo wewe kuitwa honey?mwizi huyo.mia
 
Jamani huwezi soma hivyo vitendo ukajua kesha fall kwako kijana!!!!!!!!!!!!!!!
<br />
<br />
me mgeni wa fani mkuu,ndo mana nkaleta huku ili nisaidiwe.
 
huyo anatengeneza mazingira ya kukuchuna.kama hauamin mwambie akupe game uone ka atakubali.wewe unacheza na wanawake.kwa hiyo wewe kuitwa honey?mwizi huyo.mia
<br />
<br />
swala la kuchunana hapa kwangu mbona atachemka.
 
hana jipya huyo,alikuweka rezev sasa kule kumebuma ndo km ivo hiyo ndo styl ya wadada ckuiz
 
We vipi? unauliza mkaa una rangi gani!! .......ashakolea huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…