punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451

usafi wake uko wap mkuu?

huyo anatengeneza mazingira ya kukuchuna.kama hauamin mwambie akupe game uone ka atakubali.wewe unacheza na wanawake.kwa hiyo wewe kuitwa honey?mwizi huyo.mia

Kuna mdada flan hv nilmpga sound ka miez 7 imepita akanikataa kwa kigezo cha kwamba ana msela wake na vle vle haijui vzr tabia yangu!wel,me nkamwambia isiwe tabu coz stil we cn be good frds,bac kuanzia pale 2kawa marafik wazur..

Imetokea juzi kati kaanzsha tabia ya mara kuniita honey, luv, swthat etc, kaanza kukagua cmu yangu na kila jina la msichana into my 4n anataka kumjua ni nani kwangu,ameenda mbali zaidi kaanza tabia ya kuninunia kila anaponiona natembea na gal mwingne barabarani!!sasa wakuu huyu mmanzi inakuaje au ndo kaingia kingi hvo?
senator toto hili ni 'wife material' kama unataka kupita tu acha mara moja lakini kama unataka kuwa naye na baadae kumuoa endelea,hilo la kuwa na BF tupa kule chukua hiyo ya alikuwa hajui tabia yako na sasa baada ya kukufahamu kama rafiki wa kawaida anaanza kukupenda ndio maana anataka kujuwa hawa wakina Janet na Hawa waliojaa kwenye simu ni kina nani ? si anataka uwe mume wake lazima akuchunguze.Kuna mdada flan hv nilmpga sound ka miez 7 imepita akanikataa kwa kigezo cha kwamba ana msela wake na vle vle haijui vzr tabia yangu!wel,me nkamwambia isiwe tabu coz stil we cn be good frds,bac kuanzia pale 2kawa marafik wazur..Imetokea juzi kati kaanzsha tabia ya mara kuniita honey, luv, swthat etc, kaanza kukagua cmu yangu na kila jina la msichana into my 4n anataka kumjua ni nani kwangu,ameenda mbali zaidi kaanza tabia ya kuninunia kila anaponiona natembea na gal mwingne barabarani!!sasa wakuu huyu mmanzi inakuaje au ndo kaingia kingi hvo?

senator toto hili ni 'wife material' kama unataka kupita tu acha mara moja lakini kama unataka kuwa naye na baadae kumuoa endelea,hilo la kuwa na BF tupa kule chukua hiyo ya alikuwa hajui tabia yako na sasa baada ya kukufahamu kama rafiki wa kawaida anaanza kukupenda ndio maana anataka kujuwa hawa wakina Janet na Hawa waliojaa kwenye simu ni kina nani ? si anataka uwe mume wake lazima akuchunguze.

Na ole wako ukifata ushauri wa hawa masharobaro eti kula mzigo sepa, 'wife material' wanakuwa na mikosi ukiwachezea naongea from experience.

wewe unafikili mapenzi ni kukagua simu na kusema luv u?au kila unaemuomba game lazima ucheze?ni uamzi wako.mpenzi wako lazima umpe interview ya mazingira ili uweze kumsoma yupo upande gani.unaweza kuta anajiweka karibu baada ya kuona jamaa ameanza kupata hela.huwezi jua.miaMibongo hata hutujui mapenzi we unaamini kupewa game ndo kukupenda...wana hasara wote uliowahi kulala nao
ameanza kukupenda sasa, kazi kwako