Sijui bikra yangu ilitoka vipi? Au sikuzaliwa bikra?

Retired Sister

Senior Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
182
Reaction score
224
Huwa nasikia siku ya kwanza mwanamke kukutana na mwanaume ni lazima damu imtoke,haikutokea kwangu,nakumbuka nilikutana na mwanaume kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 26 yupo alietangulia mwaka mmoja nyuma nakumbuka aliweka tu kidogo nikapiga kelele akaacha.Haikutoka damu yoyote,mwaka uliofuta ndo huyu mwingine tulifanya mwanzo mwisho niliumia tu kidogo ila haikutoka damu yoyoye.

Je bikra yangu ilienda wapi huwa najiuliza sana. Je kujichua kunaweza kutoa bikra? Mbona nako sikuona damu?
 
hapo ndo uliharibu,KUJICHUA,bikira uliitoa mwenyewe kwa mikono yako.kile kitendo cha kuingiza kidole taratibu ulikuwa unatanua mlango taratibu so mwisho Wa siku ukamrahisishia huyo aliyemalizia damu haiwez kutoka.
 
 
haya bwana retired sister
retired sister katolewa bikra kwa awamu mbili tu wengine tunajaza treni la dar kigoma ...😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Inategemea mtu na mtu, pia umr, na mfumo wa maisha....
Ni kweli wapo wengi ambao hawajawai kujichuwa na kuingilikiwa na mwanaume ila apo fanya mara ya kwanza apata maumivu tu. Damu haitoki hata kidogo.

Ila wapo wengine lazima damu itoke tena nyingi na maumivu makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…