Sijui bikra yangu ilitoka vipi? Au sikuzaliwa bikra?

Hongera kwa kujitia madole!
kama ulikuwa unapata utamu yanini kuwatesa vidume kuingiza mshedede huko mterani?!
 

hahahahahahahahaha
 
Joking Mode:

Umeturahisishia kazi...inabdi waichonge njia ingiie vizuri. Tehe
 
Mazoezi ya viungo, kuendesha baiskeli, kupanda farasi n.k huondoa bikira. Kwa hiyo kama wewe ni mwanamichezo,sio kitu cha ajabu.
 
Wewe ulikuwa sister, kisha unasema huwa unasikia je ulisikia wapi? miaka 26 bado hujafanywa kwani ulikuwa kwenye eneo hakuna mapadre? hebu weka picha yako ili tujue tunawalaumu kiasi gani hao mapadre walio kuacha muda wote huo mpaka ukafika 26.
 
hapo ndo uliharibu,KUJICHUA,bikira uliitoa mwenyewe kwa mikono yako.kile kitendo cha kuingiza kidole taratibu ulikuwa unatanua mlango taratibu so mwisho Wa siku ukamrahisishia huyo aliyemalizia damu haiwez kutoka.
KATAJA WAPI KUJICHUAA,,NDO MAANA MNAFELI MITIHANI
 
Yaani umeamua kutuhadithia namna unavyopigwa pampuchi,hutuonei huruma kama wengine tunaweza kuwakwa na tamaa? Muwe na huruma kwa wenzenu aisee,sio vizuri,si ungemuuliza huyo huyo aliyekufiriga kama kweli bikra ipo ,hukuzaliwa nayo,au imesafiri kwa muda!
 

Ni kawaida kama uko Pwani pwani huko like TA,Dsm...., maana wengi wako wazi kitambo sana.
 
So lazima itoke damu maumivu makali yanatosha, watu washakariri damu tuu
 
majanga...bikra ni hali ya mwanamke kuwa hajawai kukutana kimwili na mwanaume
bikra sio kutoka damu kwenye tendo.
hapo kwenye vidole umenikumbusha sec
test tube za maabara ilikuwa tukitoka mwalimu wa kemia anatukagua kweli maana ziliisha kabisa

Aiseee, mlikuwa mnaenda kuzifanyia nini???
 

Baisikeli hiyo imechukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…