Sijui hapa mwamba alikuwa anafikiri nini?

Sijui hapa mwamba alikuwa anafikiri nini?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
20241019_162315.jpg
 
Huyu jamaa alikuwa jembe! Mimi asubuhi natumiaga barabara ya kibaha-posta. Asubuhi ukifika kimara unaanza kuona msongamano wa magari japo yanasogea! Nikajiuliza kama serikali ingekuwa bado Dar ingekuwaje? Bigup JPM!
 
W

Watu waliohamia Dodoma,wengi wao wakawa wanabeza tunaishije huku!kila ijumaa wakawa wanakimbilia kurudi Dar!Wamekutana na watoto wa kirangi,kigogo,kisandawe,kinyiramba,wewe trip za Dar kwishinei.
 
Kweli kabisa maana hata viongozi wa juu walikuwa hawakauki kurudi Dar! Sasa hatuwaoni? Wamemkubali mwamba! Hakuna kurudi Dar! Kama unataka kazi kaa Dodoma! Hutaki hacha kazi! Chezea Magu wewe! 😂😂😂
 
Alikuwa Anafikiria Kuyamaliza Mabeberu
Hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom