Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Tumbua, tumbua!
Watu waliohamia Dodoma,wengi wao wakawa wanabeza tunaishije huku!kila ijumaa wakawa wanakimbilia kurudi Dar!Wamekutana na watoto wa kirangi,kigogo,kisandawe,kinyiramba,wewe trip za Dar kwishinei.Huyu jamaa alikuwa jembe! Mimi asubuhi natumiaga barabara ya kibaha-posta. Asubuhi ukifika kimara unaanza kuona msongamano wa magari japo yanasogea! Nikajiuliza kama serikali ingekuwa bado Dar ingekuwaje? Bigup JPM!
kula kimasihara!