Sijui hata nifanye nn naelekea kukata tamaa tu

Arteta_21

Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
12
Reaction score
2
Habari wana jf wenzangu mm n kijana mwenye umri wa miaka 18 nasumbuliwa na tatizo la kutoa uchafu mweupe wenye utelezi ambao hauna harufu kwenye uume baada ya kukojoa ila wakati nakujoa kunakua hakuna maumivu yoyote na uchafu huu hutoka endapo tu nikiwa natoa haja kuja pia mkojo wangu umekua wenye harufu mbaya sana. Mwanzon hali hii ilipojitokeza nilienda hospitalini doctor akanipa dawa za gono hali hii ilibaki palepale na tena vipele vikajitokeza kwenye korodan baada ya kurudi tena hospitalini daktari akanipa dawa za fungus. Baada ya kutumia dawa hizi hali ya vipele ndo ikazidi ndipo daktari akanipima mkojo ndipo akasema nina UTI (urinary track infection) akanipa dawa pamoja na sindano baada ya wiki mbili vipele vikakauka lakin uchafu huu bado upo na siku hadi siku uchafu unazidi kuwa mzito na viungo vyangu vya mwili vimekua vikilegea na kua na maumivu kwa mbali. Nisaidien jamani nn nifanye maana huu ni mwaka wa tatu nikiwa nahangaika
 

pole sana mkuu.amini mungu atakusaidia
 
Kijana pole sana utakuwa ulikanyaga mahali pabaya, hawa mabinti wa siku hatari wanaweza wakaupururua uume wako.
 
Labda tuanzie hapa ulienda hospitali gani?
Je ulimwona general dr au specialist wa afya ya uzazi?

Halafu haya mambo ya kukata tamaa ili iweje ?
 
Nilienda hospital ya Al rahma zanzibar na nilionana na general dr
 
Ukiwa unaendelea kutafuta tiba hakisha unakunywa maji lita 3 hadi 31/2 kwa siku utanipa majibu hata sasa hivi ukinywa lita 1 sasa mkojo hauumi!
UTI itakutesa sana na haitapota daima hata kama utakunywa dawa kutoka wapi! Dawa kubwa
ya UTI ni maji!!
Usikate tamaa kabisa ni mwiko na ni dhambi kabisa sijui wewe ni
dini gani lkn chukua hii itakusaidia hii
Jina la Yesu Kristo ni la kweli; Jina la Yesu Kristo ni la haki; tena ni safi; tena ni la kupendeza; tena lina sifa njema na nzuri. Tafakari juu ya jina hili usiku na mchana  au waza juu ya jina hili usiku na mchana.

Fanya hivyo na wewe utafanikiwa katika kila ulitendalo kwa jina la Yesu Kristo.

Unapoumwa usitafakari ugonjwa, wala kuwaza maumivu yake, bali tafakari neno la Mungu juu ya uponyaji nalo litakuwa afya mwilini mwako. Ndiyo maana imeandikwa hivi;

Mwanangu, sikiliza maneno yangu; Tega sikio lako,, uzisikie kauli zangu. Zisiondoke machoni pako; uzihifadhi NDANI YA MOYO WAKO. Maana ni uhai kwa wale wazipatao,na AFYA ya mwili wao wote (Mithali 4:20  22)

Unapolitafakari neno la Mungu ndipo unapolihifadhi neno hilo ndani ya moyo wako. Na neno la Mungu likihifadhiwa ndani ya moyo wako litakuwa AFYA mwilini mwako, na magonjwa hayatakusumbua tena.

Ukilihifadhi neno la Mungu lenye nguvu za uponyaji ndani ya moyo wako utajua hakika kwamba kwa kupigwa kwake (Yesu Kristo) sisi tumepona (Isaya 53:5)..
Afu ni PM kama vipi ni kwambie kitu kingine!!
 
pale tumaini kuna madaktari wazuri ukifika waeleze utasaidiwa
 
Usikate tamaa kijana utapona hebu nenda hosp.uombe kufanyiwa culture and sensitivity test ya mkojo/huo uchafu...ni njia nzuri ya kutambua aina ya bacteria na antibiotic inayofaa kuua hao bacteria...inafaa sana ambao wametumia dawa nyingi bila mafanikio.
 
Pole sana mkuu..usikate tamaa pia nakushauri ukapime dam kubwa
 
Marufuku kukata tamaa amini Mungu anaweza kubadilisha kila tatizo lako kuwa katika hali nzuri yako ya zamani "kwakupigwa kwake Yesu msalabani sisi tumepona😛etro 1;2-24
 
pole sana ila nimesikitika kusikia ni 3yrs now.umewahi kuskia sanitarium clinic(ndodi,kibona,jmwaka nk waone utabarikiwa.pia jitahidi kula chakula bora,mazoezi na maji,uwezo wa Mungu (kama aliyepost hapo juu)acha ngono kabisa na waiimize vijana u-18 waache kwani bado umri auwaruhusu
 
muone specialist wa magonjwa ya uzazi bt general doctor watakuumiza kwa madawa yasiyo na msaada
 
Mbaya sana tatizo linapo kaa katikati ya utamu, tutaisha kwa kweli..................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…