We unashing ngapi kima ww!??Hela kidogo hiyo mbona, hajaweka hela ya kila siku ya kutumia, yaani minimum 15,000 ya mkate, mboga za majani, maji ya kunywa, pia sijaona gas, mkaa, TV payment, ngano, hela ya soksi, viatu, dela, kanga, vitambaa, hela ya kusuka, perfumes, hela ya emergency, sijaona. Mwanaume lazima ujue majukumu, ndio ukubwa. Huyu konde boy bado ana akili ya kijinga, hela kidogo hiyo ya matumizi ya kawaida anaweka mitandaoni ili iweje? Au hataki kutunza mtoto?
Umeona umeme 50,000 pale au siyoMbona sioni nyanya vitunguu, mkaa au gas.
Mama Zuu atakuwa amesahau kuweka mboga mboga za majani, mshahara wa dada wa kazi.
Wanaume tafuteni hela mtafika mbinguni mmechoka sana.
Huu ni upuuzi...
Unakuta Ke ni Maskini wa Akili na Kiuchumi apo kuna hatari kubwa sanaWanaume tujitahidi kuoa wanawake wenye akili na wanaojielewa kuepuka hizi aibu.
Hakuna Lolote Hao Ni Masela M*v* Wana Cash Gani Kwa Huo Music Wa Back CD JukwaaniSijaelewa kabisa...
Hao Ni Wajinga Wameokotoka Huko Toka ChitoholiNi shida sana.
Wapuuzi SanaBaadae nan kama mama