Sijui huyu jamaa kapatwa na ugonjwa gani?

GIRITA

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
4,432
Reaction score
5,864
Habari wakuu.

Jamaa yetu tuko nae hapa geto sijui kapatwa na ugonjwa gani,maana kama wida,fegi,ugoro,pombe na bia vyote hatumii..LAbda mmaro yaani ile sigara ya tumbaku na gazeti,,, ndio anashtuaga Mara moja moja akiendaga kwao Tabora.

Tatizo lake lilompata sasa hivi akisoma SMS kwenye simu yake anasoma kwa sauti kubwa sana mpaka majirani wanahisi kuna tatizo hapa geto,sauti anayosoma unaweza hisi amevaa head phone zile za Sony au beat by dre... Basi nishida hapa tulipo naona Aibu kubwa sana aisee!! Hii ndio ile kuwa uyaone anasumbua sana jamaa yangu Wa Tabora.

Ameingia instagram kwenye page za wale wauza nyama za mwili basi amesoma Yale matangazo yao "Eti tunauza tigoo,watoto kwenye vyura wapo...kwa huduma ya video za eski za kibongo..njoo nikuunge kwenye grupu LA whatsapp" sasa amesoma kwa sauti Ku bwa sana na mama mwenye nyumba akipita mbele yake daah! Hii aibu bora kutembea na demu mkali halafu mfukoni huna hata mia mzee,maana namuheshimu sana huyu mama.Nimetamani kumuwasha mshikaji bonge la Kofi Ila nikakumbuka alipita JKT nikaamua kuwa mpole aisee asikwambie MTU huyu mngese.

Nikamtest kama amepona kwa kumfungulia ule.....Uzi Wa kula tunda kimasihara, kasoma tena kwa lisauti likuubwa sana... kama mziki unaopigwa uswahilini.. kwenye disko vumbi LA harusi mtaani,
,kama unaishi jirani utapata tabu SAna...dah ikabidi ni mzibe mdomo kwa kumrushi Kipande cha pipi ivory mdomoni ,,naona kama afadhali...sijui akimaliza hiyo pipi itakuwaje.

Najiandaa hapa akiendelea na ushamba wake Wa Tabora!! naenda zangu kulala kwa bro! Sebuleni, sema mke Wa bro huwa ananisumbua SAna eti Mimi endsam.. Na mbu zinanisulubu mpaka usubuhi Ila bora kuliko ile aibu,hana tatizo lolote kiafya Ila sauti usipime mkuu kama umejificha na dem wako porini halafu usikie jamaa yako anakuita anakwambia mshikaji nije na Mimi.
 
Sio kwamba wewe ndio umeanza kuwehuka?jamaa anasoma kwa sauti ya kawaida ila wewe ndio unasikia sauti kubwa,inabidi ujipeleke mwenyewe karantini mirembe
 
Wanafunzi watumie muda huu pia kujiandaa kisaikolojia maana zikifunguliwa ni mwendo Wa kutoa moduli bandika moduli walimu watakuwa wanasubiriana madarasan ili wapige mapindi hivyo mapumziko sijui wkend itakua hakuna hizo ..hivyo madogo muache wenge
 
Sio kwamba wewe ndio umeanza kuwehuka?jamaa anasoma kwa sauti ya kawaida ila wewe ndio unasikia sauti kubwa,inabidi ujipeleke mwenyewe karantini mirembe
Wewe upo hapa nilipo hadi una sema hivyo kijana.
 
Wanafunzi watumie muda huu pia kujiandaa kisaikolojia maana zikifunguliwa ni mwendo Wa kutoa moduli bandika moduli walimu watakuwa wanasubiriana madarasan ili wapige mapindi hivyo mapumziko sijui wkend itakua hakuna hizo ..hivyo madogo muache wenge
Usikariri kila anaye beba begi ni mwanafunzi.
 
Kuna watu watakuja kuipa Bangi scandal hapa
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nifanye kufurahi tu na jf yangu [emoji4][emoji4]

mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
Ganja sio mbaya, ila matokeo yake ndio noma.
Ona dogo masikio yamefunguka, anasikia Hadi vishindo vya sisimizi wakitembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…