Sijui ingekuwaje ?

Sijui ingekuwaje ?

Endaku's

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2007
Posts
321
Reaction score
47
Kama kila mara mwanaume anapopiga bao ingekuwa inalia kama mlio wa bunduki je huku mitaani ingekuwaje ? Maana ingekuwa wewe Puuuuu na jirani yako naye Puuu ,wale nyumba mmoja wamepanga wengi kila chumba kelele tuuu !
 
Kwi!kwi!kwi!kwi!kwi!..........! Jamani ulimi hauna mfupa........! tehehehehee!

Lakini Ingekuwa poa!
 
....😀😀😀 wangeshikwa wengi ugoni!!!
 
Nafikiri home kwako tungesikia mara 7 kama si nane kwa siku!teh teh teh
 
Back
Top Bottom