Sijui itakuaje kama hawa wachezaji hawatacheza...

Ni wazi sio kosa lao, haiwezekani wote wasiende kwa wakati mmoja na wala hawana rekodi ya nidhamu mbaya.
 
Yataishia kucheza humuhumu haya ma mbwa koko.
Japo sijui sababu nini ila wachezaji wetu wanatia aibu sana haiwezekani mchezaji wa timu ya Simba ukashindwa kuonesha heshima kwa kocha aliyewahi kuchezea club kubwa duniani kama Barcelona, huu ulikuwa ndo muda wa wao kuanza kufahamika kimataifa, maana huyu kocha anamtandao mkubwa na anafuatiliwa na watu wengi duniani. Jambo la kuachwa wachezaji wa Simba limeniuma sana kama mtanzania na pia kama shabiki wa Simba, ila nifunzo kwa wengine.
 
z Ni bora waende tu hao wenye nidhamu pengine wanaweza kutusaidia tukafuzu kombe la Africa maana hawa wengine wenye majina wameshidwa kufanya hivyo miaka nenda rudi pengine ni kwa sababu ya utovu wa nidhamu.
 
Subiri tukibugizwa migoli ma Uganda ndio uandike hiki kijambo!
 
Subiri mvua ya magoli ndio useme haya mineno mbofu mbofu
 
Maamuzi Yake Nmeyaunga Mkono 100%.Usimba Na Uyanga Umetuzidi!Hata Tukifungwa Kwa Kweli Sitamlaumu Kocha!Wachezaji Waige Mfano Kwa Mbwana Samatta!
 
Kila la kheri Taifa stars

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…