he heh kama ni uongo basi jf yapotea...
na hata ka ikiwa ni kweli wasi wasi wangu ni kuwa anaweza asilete any changes zaidi ya kurudisha wale wale sana sana kubadilisha wizara tuu na mbaya zaidi kuna washkaji zake wengine nje anaweza waongeza ili waweza malizia dakika hizi lala salama za kipindi if not ngwe hii ya kwanza...so wanaweza fikia mia kwa sasa hivi..ukumbuke waziri akigo wizara nyingine kuna uwezekano wa kuanza pata bonus za wizara hizo vitu kama mashangingi mengine n.k
tanzania oyeee
Mwandishi wa habari hii hana uhakika kama habari hizi ni za kweli ama namna gani, zisije kutumalizia bandwidth na kuzima server kama ilivyofaya habari ya kuleta picha za mkuu wa kaya za Bw Hasara. Naona wana JF wameshupalia kwa ukakamavu kumpongeza mkuu. Mi nadhani tungeishikia bango habari hii mara baraza jipya likitangazwa, ili tujue kama mkuu wa kaya kachemsha ama kapatia.
Naomba hii habari ibaki ni udaku.
Mimi nasubiri kwanza atangaze hilo baraza lake la mawaziri,kama akiwaacha mafisadi wakipeta wala sintompongeza,kwa sababu atakuwa amewapa rungu la kuifilisi nchi yetu.
Du kama ni kweli atavunja basi atakuwa amedhamilia kushusha mizigo tisa aliyojibebesha. Natamani nisizione tena sula zilizokaa kwenye baraza la mawazili kwa awamu zaidi ya moja. Sipendi kuona zile sula za mafisadi. Pia natamani nione ukubwa wa baraza unapunguzwa. Kwa kufanya hivyo, nitarudisha imani yangu kwa mkuu JK angalau kwa ten percent.
Teh...teh.... Isije ikawa ni yaleyale ya hasara!!!