Sijui kuwa kuna pombe halamu na halali!

Sijui kuwa kuna pombe halamu na halali!

marashi ya pwani

Senior Member
Joined
Sep 30, 2024
Posts
120
Reaction score
132
Ninachojua pombe pombe tu Kuna za wanaojifunza na makonki kama sisi

Sasa pombe. Nyepesi isiwe sababu ya kuzihirisha

Kuna pombe haramu na HALALI pombe itabaki pombe
 
Kuna pombe ambazo zinatengenezwa na kemikali.Hizi ni shimwaa,kitoko,k-vant,value na n.k

Kuna pombe zinazotengenezwa natural mfano matunda,nafaka na zenye utaratibu wa umakini.hizi henessy,saidwalker,sante mwajuma,
 
Back
Top Bottom