Sijui kuweka hela akiba

Sijui kuweka hela akiba

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu Mimi mwanenu sijuagi mambo ya bank Wala mambo ya tigo pesa au m pesa.mimi nikipata kalaki kwenye mambo yangu nakatumia chote.kama Ni vyombo nitapiga mpaka iishe Kama Ni ishu ya muhimu ntanunua geto .nasikia sikia tu kwamba mna akaunti bank nawashangaa Sana Ina maana nyie hamjui Kama mtakufa muda wowote? Ponda Mali wewe kufa kwaja.unafuga hela Nani aje kuzifaidi?kila mtu anayekubali kuja DUNIAni apambane na hela yote.maswala ya kuweka akiba Ni kutojua maana halisi ya maisha.mwisho wa siku pesa itapotea bure ukidedi.mtu unajiwekea akiba unajibana mwishoni unafariki hela hujatumia huu kwangu Ni umama..me siwazi waza wewe!
 
Unajihamasisha na kujipa moyo. Jambo ambalo ni zuri (nimewah siti)
 
Ukipata tumia ukikosa jutia jombaa...

Waweka akiba ni waoga wa maishaa

Waiteeeeeeeer
 
Tumia pesa mkuu..
Kama ulishawahi kutembelea magereza na hosiptali utaelewa ninachokwambia..
Ukipata pesa wewe itumie tu maana hatujui kesho.
Wewe unaoanga mipango Mungu naye ana mipango yake
 
Tumia pesa mkuu..
Kama ulishawahi kutembelea magereza na hosiptali utaelewa ninachokwambia..
Ukipata pesa wewe itumie tu maana hatujui kesho.
Wewe unaoanga mipango Mungu naye ana mipango yake
Hata Mimi sio kwamba hela huwa hazitulii kwangu bali nimegundua ni Mimi ndo huwa situlii nikiwa na hela.
kabisa, hasara roho pesa makaratasi
Ukipata tumia ukikosa jutia jombaa...

Waweka akiba ni waoga wa maishaa

Waiteeeeeeeer
Sikutegemea Kama ningepata ma supporters wa kutosha
 
Write your reply...Leo kidogo umeongea point ya msingi bata john.ngoja nikai withdraw akiba yotee
Unasubiri Nini mkuu life is too short rafiki labda Kama una matoto mengi
 
Back
Top Bottom