Wakuu Mimi mwanenu sijuagi mambo ya bank Wala mambo ya tigo pesa au m pesa.mimi nikipata kalaki kwenye mambo yangu nakatumia chote.kama Ni vyombo nitapiga mpaka iishe Kama Ni ishu ya muhimu ntanunua geto .nasikia sikia tu kwamba mna akaunti bank nawashangaa Sana Ina maana nyie hamjui Kama mtakufa muda wowote? Ponda Mali wewe kufa kwaja.unafuga hela Nani aje kuzifaidi?kila mtu anayekubali kuja DUNIAni apambane na hela yote.maswala ya kuweka akiba Ni kutojua maana halisi ya maisha.mwisho wa siku pesa itapotea bure ukidedi.mtu unajiwekea akiba unajibana mwishoni unafariki hela hujatumia huu kwangu Ni umama..me siwazi waza wewe!