Sijui kwa nini bado CHAPUTA inaendelea kupata wanachama wapya?

Ila sasa mabomu yanapigwa mengi mpaka nakaribia kusarenda

Mkuu siachi chaputa
 
kwene maelezo umeandika nyapu adi za buku jero zipo lakini we umetumia kama 70 hivi, unatuchanganya ujue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikiona watu wanavosifia kuwahonga watoto wa chuo na kugharamikia maisha yao, ila sasa uhalisia was maisha ya hao watoto wa chuo, nabaki kushangaa tyuuh. Lol
 
Urahisi unatokea wapi ikiwa unanunua nyapu?.

Nilitegemea kitu organic hapa,,yaani unatongoza leo na unakula leo bila ya kutumia nguvu ya pesa regardless ni kiasi kidogo au kikubwa.
Ikumbukwe pia alitumia mda mpaka kupata namba yake na kuanza kumtafuta kwa kuwrong number
 
Vipi uhalisia wa maisha yao ukoje?.
Nikiona watu wanavosifia kuwahonga watoto wa chuo na kugharamikia maisha yao, ila sasa uhalisia was maisha ya hao watoto wa chuo, nabaki kushangaa tyuuh. Lol
 
Hata mimi leo nilitupia kimoja cha chaputa
 
Mkuu mi nimejitoa chamani tangu mwaka juzi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kula tu mkuu,wanawake wameumbiwa wanaume
Ila usione wenzako mambulula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…