Sijui kwanini CCM ilimfukuza Lowassa kabla Magufuli na Rostam Aziz hawajamrejesha kundini

Sijui kwanini CCM ilimfukuza Lowassa kabla Magufuli na Rostam Aziz hawajamrejesha kundini

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama ni kweli kabisa alikuwa Fisadi mbona Waliomtuhumu hao Chadema walimbembeleza awe mgombea Urais kws ticket ya Chama chao?

Sijawahi kupata majibu ila namshukuru RA kwa kumueleza ukweli Shujaa kwamba Lowassa hana tatizo lolote na baadae Shujaa akaagiza Lowassa arejeshwe CCM na wabunge wake wote wa pale Ufipa st

Jumaa kareem!
 
ENL uchaguzi 2015 alikuwa na impact kubwa sana kwa JPM na alimtwanga kweli JIWE. Uwepo wa ENL CDM ulikuwa unamnyima usingizi JIWE. Adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa. Jiwe akaanza kupiga mshono kwa ENL ikabidi Lweigwanani anyooshe mikono Juu mwendo wa MATEKA.
 
Back
Top Bottom