GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Hivi karibuni nilikuwa maeneo ya mozambique, nimetembelea maeneoa kama Aldea,
Pemba, Nangadi n.k. Huku kuna wanawake wa aina mbili, Weusi(Wenzetu) na weupe
ambao ni Half Cast (Yaani wazuri hao, si mchezo) Kilichonishangaza juu ya wanawake
hawa ni jinsi wanavyoithamini Dar es salaam. Maputo ni kuzuri kuliko Dar lakini kama
unawaahidi kuwapeleka Dar hakuna kitu kizuri kwao zaidi ya hicho. Usiseme Tanzania
waambie nitakupeleka Dar yaani unaweza kujikuta unaoa bila hata kutoa mahali
Yaani mpaka sasa najiuliza hii Dar kwao ina nini?