Sijui kwanini hawa wanawake wa Msumbiji................!!!!!

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Hivi karibuni nilikuwa maeneo ya mozambique, nimetembelea maeneoa kama Aldea,
Pemba, Nangadi n.k. Huku kuna wanawake wa aina mbili, Weusi(Wenzetu) na weupe
ambao ni Half Cast (Yaani wazuri hao, si mchezo) Kilichonishangaza juu ya wanawake
hawa ni jinsi wanavyoithamini Dar es salaam. Maputo ni kuzuri kuliko Dar lakini kama
unawaahidi kuwapeleka Dar hakuna kitu kizuri kwao zaidi ya hicho. Usiseme Tanzania
waambie nitakupeleka Dar yaani unaweza kujikuta unaoa bila hata kutoa mahali
Yaani mpaka sasa najiuliza hii Dar kwao ina nini?
 
sababu kubwa ni channel 5
video za bongo fleva zinawadatisha
hata wakenya wana adabu na sisi wakati zamani walikuwa
wanatudharau...
zile video zinaonesha 'tz maambo saafi'....starehe kwa sana...
watu wako happy....
 
Mimi nafikili huwa hawana mapenzi ya dhati na wewe maana wanajua ukisha wafikisha Dar basi watakuwa wamepata ahueni ya kufanya biashara yao ya ngono! Wanajua pale walipo kuna upinzani mkali sana hivo wakija dar ndo wataonekana wazuri sana kama wewe unavyowashuhudia wakiwa maputo! chukua mmoja njoo nae kama mke wala hatamaliza siku 90!!!!!!!!!!!!!!
 
Yupo rafiki yangu alimchukua mmoja akamuoa na akazaa nae lakini sijui nini
kilitokea kati yao kwani yule mwanamke alijiua kwa kunywa sumu.
 
Mi mwenyewe mtu akiniambia atanipeleka hata uganda nitamganda kama ruba. Lol.

He he he he.............Eti unasemaje wewe, ulidhani sitasoma hapa eh! Kwa taarifa yako huendi popote na nitakupeleka kijijini kwa bibi yako Kipatimo ukamsaidie kazi za shamba, naona hapa mjini ushaanza kuharibika kitabia............LOL
 
He he he he.............Eti unasemaje wewe, ulidhani sitasoma hapa eh! Kwa taarifa yako huendi popote na nitakupeleka kijijini kwa bibi yako Kipatimo ukamsaidie kazi za shamba, naona hapa mjini ushaanza kuharibika kitabia............LOL

baba ulishawahi kufa kwa presha? Lol
 
Ukiwa nje ya tz watu wanashoboka sana..
 
sio kuwambia dar, bali waambie wewe ni mtanzania, basi jua umeua, nishabatishaga kitoto CHA kigogo flan kwa swaga za kiswaz tu,mie nadhan kwa sabab wanaona watz wanavowahi fanikiwa tofauti na watu wa mataifa mengine, pili watz ni watu wa sifa sana, pili ni wakarimu sana tofauti na wengine, Halafu dar inatokea julikana sana tofaut na miji mingine, ukimwambia dar anajua atakutana na watu wote kama kingwendu, kanumba, ray c, saida kalori , mr. Nice, kiujumla miziki na movie ndo zinawafanya wawapende watz,
starehe mnazoenesha kwenye movie kama maclub, mabar yenye nyama, majengo ya ukweli, ndo viwanya wadate na dar,kwa sabab ya kwao ni Ile mijengo ya kizamani sana, hata huko Maputo ni mijengo ya kikolon tu, wakat dsm imejaza ile ya kisasa
 
sababu kubwa ni channel 5
video za bongo fleva zinawadatisha
hata wakenya wana adabu na sisi wakati zamani walikuwa
wanatudharau...
zile video zinaonesha 'tz maambo saafi'....starehe kwa sana...
watu wako happy....

Kumbe hawana lolote zaidi ya kuazimana viwalo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…