Sijui kwanini Magufuli aliivunja Billicanas maana Jiji la DSM sasa limeelemewa na Washamba Washamba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tangu enzi za Mbowe Hotel na baadae Billicanas ile Club iliwafanya Wakuja wapate Ustaarabu wa mjini

Na uzuri wa Bills hata bavicha na UVCCM waliunganishwa na Ustaarabu wa mjini na kwahiyo Itikadi ya Vyama waliweka pembeni

Nimeshangaa kukuta Vyuo Vya mjini Kati IFM na CBE vimesheheni Walugaluga tofauti na 1990s

Kwako Lucas πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Yeye mwenyewe alikuwa mshamba mshamba pamoja na bashite wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…