Sijui kwanini nimeumia hivi

Tenda wema nenda zako. Moyo wa mwanadamu ni ngumu kuuelewa.

Ndio maana tunasisitizwa kuwatreat watu kulingana na mioyo yetu ilivyo, na sio kulingana na wanavyotutreat au mioyo yao ilivyo.
 
Nimetenda wema nimeenda zangu wakuu, lakini bado roho inaniuma aisee😥😥

Siku zote mtu "masikini" usimsaidie masikini, acha masikini asaidiwe na tajiri...

Huku mtaani wanakwambia, gari bovu haliwezi kulivuta gari jingine bovu...

Hili ndilo la kujifunza.

NB: Usiielewe vibaya hiyo masikini niliyoiwekea " "...
 
Siku zote ishi kwa kusaidia bila kutegemea malipo yeyote. Iwe ya shukrani ama chochote.

Kwa sababu hata shukrani isingekuongezea chochote.
Yaani nashindwa kueleza ninavyojiskia,, sihitaji anilipe chochote wala chochote ila tu nimeumia ndomana najishangaa kwanini inakua hivi hadi nashindwa kujizuia.. Hata sielewi naumia nini yani
 
Nimeumia sana mkuu, ameshindwa kunishukuru basi hata angenipigia Simu anijulishe kama wanaendelea vizuri.. Nimeumia haki ya Mungu tena[emoji3064]
Mkuu samehe bure hili sadaka iwe sadaka inatakiwa uiotoe mazingira yanayo uma rafiki yako kazingua Mungu pia anaona lakini wewe utapata sawabu kupitia yeye samehe shida pia hazijawai kuisha
 
Binadamu muda mwingine ni shida tu mshukuru Mungu umekuwa sehemu ya kuokoa maisha ya mtoto wake shida haziishi. Mie niliwahi kumtafutia kazi rafiki yangu kwenye kampuni nayofanyia kazi na alikuwa kwenye wakati mgumu yeye na familia yake lakini baada kupata kazi akaanza kunipiga majungu kwa maboss nikaishia kupoteza
 
Pole sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…